top of page

THEBLESSEDFAMILY UNIVERSE
#Never DROP Your VISION

TRADE AND INVEST WITH US:
◇STOCKS
◇CURRENCIES
◇COMMODITIES
OUR PORTFOLIO:
☆REAL ESTATE INV.
☆BLOCKCHAIN
☆HIGHER EDUCATION
☆TOURS & TRAVEL
![]() | ![]() | ![]() |
|---|---|---|
![]() | ![]() | ![]() |
bottom of page

























![MWITIKO WA MASOKO SIKU YA LEO JUU YA KAULI YA PRESIDENT TRUMP KUHUSU VENEZUELA...NA RAISI WA VENEZUELA, NICOLOUS MADURO..
Asubuhi ya leo, masoko ya dunia yametoa 'reaction' baada ya kauli ya kisiasa kudai kuwa Rais wa Venezuela Nicolás Maduro ameondolewa madarakani. Habari ambazo zilisambaa kwa kasi kubwa, licha ya kukosekana kwa uthibitisho rasmi au picha kutoka vyanzo vinavyoaminika vya kimataifa ndani ya muda husika.
Mwitikio wa masoko:
Bila kusubiri uhakika, masoko yameanza ku-react: bei ya mafuta imeonyesha kupanda kwenye index yake mf USOIL, kwa hofu ya kuvurugika kwa uzalishaji, dhahabu (XAUD] na dola [USD] ya Marekani zimepata nguvu kama safe haven assets, huku masoko ya hisa [STOCKS] yakionesha volatility ya ghafla. Ofcourse ni hali inayotarajiwa kwa aina ya news iliyotoka siku ya leo.
Hii ni ukumbusho na somo la kila siku kwa wawekezaji kwamba mara nyingi masoko husogea kwa news kabla hata ya ukweli wa taarifa kuwekwa wazi. Katika mazingira ya habari za haraka, uwezo wa kutenganisha tetesi na uthibitisho unakuwa mtaji muhimu zaidi kuliko habari yenyewe.
#stocks #currencies #commodities #venezuela🇻🇪
#maduro #presidenttrump #usareels #TheBLESSESfamily #TheROYALMISSION
#NeverDROPYourVISION](https://scontent-den2-1.cdninstagram.com/v/t51.71878-15/610666190_3026495377560456_5252142861144421459_n.jpg?stp=dst-jpg_e35_tt6&_nc_cat=109&ccb=7-5&_nc_sid=18de74&efg=eyJlZmdfdGFnIjoiQ0xJUFMuYmVzdF9pbWFnZV91cmxnZW4uQzMifQ%3D%3D&_nc_ohc=czIgzFvzRTYQ7kNvwF9ulfp&_nc_oc=AdqVAPrr-7OLD6Y0JxDA6_ak_ifr2nS3-ZRx-5-fhoCpoemwyLYHeBNqgsV2aSLUnZ0&_nc_zt=23&_nc_ht=scontent-den2-1.cdninstagram.com&edm=ANo9K5cEAAAA&_nc_gid=xURHyIWWijY9EVquwWLjJg&_nc_tpa=Q5bMBQGdwh0K1y947kCtMKFiBs1RER4x5TW2xKsGShE7ShRvGOawvAl9gmBQ6WUDQgPOTjQlscMKudl7&oh=00_Af_sFSLk8h9nRw0gjBmz6Ugf-EQkQXtJxqA_9ZriWYiufA&oe=6A3CC3C0)










